CDEA is proud to begin a new year with all our partners thus is cordially welcomes you to Open Show Dar es salaam. join us to interact with the film makers, photographers and other mulitmedia producers and give them feedback on their work....
Welcome all..
CDEA inajivunia kuuanza mwaka mpya nawe mshirika wetu hivyo inakukaribisha kujumuika nasi kwenye Open show Dar es salaam. Karibu tuungane kuona na kuchangamana na watengeneza filamu, wapiga picha na wazalishaji wengine wa kazi za sanaa ili tuwape mrejesho wetu kwa kile walichikifanya..
Karibuni wote.